NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, August 2, 2011

TCRA KANDA YA NYANDA ZA JUU KUSINI - MKOANI MBEYA WAHAMISHA OFISI

Jengo la CENTURY PLAZA

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania(TCRA) Kanda ya Nyanda za Juu Kusini Mkoani Mbeya, imehamisha Ofisi zake kutoka ilipokuwa awali, Jengo la NSSF kwenda jingo la CENTURY PLAZA lililopo Mwanjelwa Jijini Mbeya.

Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0655853975, 0779250368 AU 0757711054
WOTE MWAKARIBISHWA!!0 maoni: