NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, August 31, 2011

MAAJABU YA UUMBAJI WA MWENYEZI-SHINA MOJA LAKINI MATAWI YA MITI TOFAUTI MITATU

 Tizama kwa makini
 Matawi ya aina tatu yakionekana kwa uzuri zaifi
    Shina la Mti uliopo katika Shule ya Sekondari ya Myovizi wilayani Mbozi ambalo chini limeungana na kuwa shina moja lakini matawi yake juu yamegawanyika katika miti mitatu ya aina tofauti, kuna mkuyu, na aina nyingine mbili za miti. 
Matawi yanavyoonekana juu yakiwa mchanganyiko wa miti aina tatu

0 maoni: