NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Friday, August 19, 2011

LIBENEKE LA MAPINDUZI YA BURUDANI BONGO FLAVA LINK

More Entertainment Inayojishughulisha Na Maswala Ya Kupromoti, Kusimamia Na Kurekodi ( Tuff Rec ) kazi Za Wasanii Wachanga Mkoani Morogoro Inapenda Kuwajulisha Wadau Wote Wa Sanaa Nchini Kuwa Imefungua Blog Inayokwenda Kwa Link Ya http://bongoflavalink.blogspot.com Ili Kurahisisha Kazi Ya Kupromoto Kazi Za Wasanii.

Tunaomba Sapoti kutoka Kwenu Kwa Kutembelea Hii Blog Kwa Maendeleo Ya Sanaa Yetu...
Thanks..

Contact:
Salim Chuma aka MORE
Morogoro
Tanzania
Tel: +255712 222244
bongoflavamusic@gmail.com
salimmore@yahoo.com

Bofya hapa BONGO FLAVA LINK  

0 maoni: