NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Wednesday, August 17, 2011

KIJANA AONESHA KIPAJI CHA KUTENGENEZA NGUVA


Kijana Imani Ibrahimu (18) akiwa ameshika kinyago cha Nguva alichotengeneza yeye mwenyewe na kukiuza Shilingi 8,000/= kwa kila kimoja.

Anasema alijifunza kuunda vinyago hivyo kutumia Salfeti baada ya kumuona Baba yake mzazi anaye ishi Uyole Jijini Mbeya.
 
Habari na Picha ni kwa hisani ya Gordon Kalulunga na Tanzania Yetu

0 maoni: