NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Sunday, August 21, 2011

ANASTAZIA MUKABWA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI KUTOKA KENYA AKIWA KATIKA MAHOJIANO NA BOMBA FM


Mwimbaji wa nyimbo za injili kutoka Kenya ANASTAZIA MUKABWA "Kiatu kivue" akiwa katika studio za Bomba Fm Radio jijini Mbeya katika kipindi cha FARAJA YAKO.

MUKABWA yupo mkoani jijini Mbeya kwa lengo la kutoa Ujumbe wa Neno la Mungu kwa njia ya Tamasha, linalotarajiwa kufanyika leo Jumapili, katika Ukumbi wa Mkapa.

0 maoni: