NEW VIDEO:- CHRIS BEE - BASHEE

https://2.bp.blogspot.com/-NZDdQwpgbRw/WMA34hEugXI/AAAAAAAATag/4I0Huz3ca6kOQZL8h9gKQy7MN1039AuYwCLcB/s1600/sdfghjk.png

Pages

Tuesday, August 30, 2011

ALIYEIBA SIMU MJI MDOGO WA MBALIZI - MBEYA VIJIJINI ATOZWA FIDIA NA SIMU YAACHA KULIA TUMBONI

  Simu iliyoibiwa
 Mama mzazi wa mwizi wa simu hiyo Bi CHRISTINA MWAKALONGE
  Mwenyekiti wa Mtaa Bwana ASIFIWE MWAKALONGE
 Kaka wa mwizi wa simu hiyo Bwana DANIEL MWASYOGE
Mmiliki wa simu aliyejulikana kawa jina la Bwana Japhet Muhabe mkazi wa Mbalizi amepokea fidia ya shilingi elfu 60,000/= kutoka kwenye familia ya Mwasyoge na kuichukua simu yake aina ya HUAWEI yenye thamani ya shilingi 25,000/= hivyo simu kuacha kulia tumboni kwa mtuhumiwa wa wizi wa simu hiyo RICHARD GODSON mwenye umri wa miaka 27, mkazi wa Pipe Line na tumbo lake limerejea katika hali ya kawaida.

Ikumbukwe kuwa kijana huyo alikuwa katika mgumu baada ya kuiba simu ya mfanyabiashara eneo hilo baada ya wiki moja simu hiyo ilikuwa ikilia tumboni baada ya kupigwa kuchukua kama dakika kumi na tumbo lake kuvimba. 

0 maoni: